#Dayoo #Dvoice #wasafi #wcb #mimi
DAYOO FT D VOICE ( Lyrics 👇 )
Intro….
Nawaza mbali traxx
Na si eti again
Mmh
mmmmh mmmh mmh
Ooooh oooh oooh
Aaaah aaaah
VERSE 1 (Dvoice)
Eti wanaulizana mbona siku izi nanenepa
Wameanza kuulizana baby mbona siku izi natakata
Nimewaambia nishampata wa kunidekeza kujiali
sasa hivi bila kubembelezwa usiku silali
Yangu thamani ameiongeza wa ghali
Sio yule wa kunisema wakunibeza dotto magari
Sijui ni mimi tu au kuna wengine
Wanaopewa izi raha kama navyo pewa mimi
Sijui ni mimi tuu au kuna wemgine wanaodekezwa ka navyo dekezwa mimi
Oooh no
Mmmh mmmh mmmh
Mmmh mmh
VERS 2
Kama mahaba ndo hivii
Nipelekwe milembe nishakua chizi
Sio mtu wa waganga vihirizi hirizi
Amezizidisha dua mpaka nimekua chizi
Mmh
Alafu si eti my dear
Unanipenda nakupenda pia
Unikiacha mwenzako nitalia kama mtoto
Ooooh ooooh
Wanatupakazia unipendi unanichezea
Umekuja kunitumia uende zako
Nakiri kwako baby ukienda mbali na mimi nakosa raha
Sio vitamin hivi mmmh nanenepa tu kwa makopa
Mi ndo mwenzenu nawaza aaaah
CHURUS 2
ijui ni mimi tu au kuna wengine
Wanaopewa izi raha kama navyo pewa mimi
Sijui ni mimi tuu au kuna wemgine wanaodekezwa ka navyo dekezwa mimi
Song Writter : DAYOO / DVOICE
Producers : TRAXX / Pluto Republic / Mixxing By Cukie Dady
Video By : JOOWZE
コメント